kupiga picha kazi kweli bt mara nyingine inabidi kuzoea |
hapa nilikuwa na joseph pain |
nikiwa kazini sitaki utani ha ha ha ...! |
hii ilikuwa nairobi tukifanya shoo na Lady jay dee binti machozi |
huyo wa kwanza hapo ni dada yangu kabisaa....anaitwa Precious! |
mtoto wa kike kuwaza muhimu ati...! |
utamaduni wetu kuuenzi muhimu |
usupastaa mzigo wa mwiba....bt mjue kuwa si kila linaloandikwa lina ukweli |
Shemu wangu Msechu akiwa na mpenzi wake Amariss |
kila shetani ana mbuyu wake na huyu ndo mbuyu wangu |
napenda sana maua........................! |
Nikiwa na meneja wangu na mpenzi vilevile..! |
No comments:
Post a Comment